Biashara Ya Choo ( Public Toilets)

Jenga Choo ya kulipia eneo la Kariakoo. Utakuwa na uhakika wa kurejesha gharama zako ndani ya muda mfupi kama ifuatavyo:

Wateja 
  • Akina mama (200 * 100/= * 30days) = 600,000/=
  • Akina baba (150 * 100/= * 30days) = 450,000/=
  • Watoto/vijana/wanafunzi (200 * 100/= * 30days) = 600,000/=
JUMLA KWA MWEZI 1,650,000/=

Kwa mwaka (19,800,000), kwa miaka kumi (198,800,000/=).

Yaani baada ya miaka kumi utakuwa millionea mkubwa sana, na usisahau kurudi hapa JF na kutushukuru.

NB: Kumbuka, uzuri mmoja kwa biashara hii, haina suala la mvua wala kiangazi. Kila siku biashara inaenda.
Biashara Ya Choo ( Public Toilets) Biashara Ya Choo ( Public Toilets) Reviewed by Unknown on 1:58:00 AM Rating: 5

1 comment:

Powered by Blogger.